IQNA

Siku ya Mwisho ya Maonyesho ya 33 ya Kimataifa ya Vitabu Tehran

TEHRAN (IQNA)- Maonyesho ya 33 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran yalimalizika Jumamosi baada ya kufunuga milango yake kwa muda wa siku 10. Haya yalikuwa maonyesho ya kwanza kufanyika katika ukumbi baad aya miaka miwili kutokana na janga la COVID-19. Maonyesho ya miaka miwili iliyopita yalifanyika kwa njia ya intaneti.