IQNA

Jumba la Makumbusho la Shah Cheragh, Shiraz, Iran

Shah Cheragh ni moja ya maeneo yenye mvuto katika eneo la Shiraz nchini Iran. Ndani ya Jengo la Shah Cheragh ndiko iliko Haram Takatifu za Ahmad na Muhammad, wanae Imam Musa Kadhim (AS), Imamu wa Saba wa Mashia.
Haram hii takatifu pia ina jengo la makumbusho ambalo lina maelefu ya athari za zama mbali mbali za historia.