IQNA

Sanaa ya kuchonga mawe Iran

SHIRAZ (IQNA)- Mohammad Reza Shabeeh ni msanii mashuhuri wa Iran katika uga wa kuandika matini za Kiisalmu katika mawe na karakana yake iko katika mji wa Shiraz, mkoani Fars kusini mwa Iran.
Kazi alizozifanya zinapatikana katika misikiti na maziyara nchini Iran na maenei mengine duniani.
Kazi zake zinapatikana katika Haram takatifu za Imam Hussain AS na Hadhrat Abbas AS huko Karbala, Iraq na hali kadhalika katika Haram Takatizu za Bibi Masoumah SA mjini Qum, na Shar Cheragh huko Shiraz.