IQNA

Ibada ya Hija

Picha za awali za Hija ya mwaka 2022

TEHRAN (IQNA)- Mahujaji kutoka maeneo yote ya dunia wanaendelea kuwasili katika nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Ibada ya Hija baada ya Mahujaji nje ya Saudia kushindwa kutekeleza ibada hiyo kwa muda wa miaka miwili kutokana na janga la corona. Mwaka huu idadi ya Mahujaji inatazamiwa kufika milioni moja.