IQNA

Msahafu mkubwa zaidi ulioandikwa katika mbao waonyeshwa Indonesia

TEHRAN (IQNA) - Jengo la Makumbusho la Bayt al Qur'ani Al Akbar katika eneo la Palembang, Indonesia lina Msahafu mkubwa zaidi ulioandikwa katika mbao umehifadhiwa katika jengo lenye ghorofa tano.