IQNA

Barabara za Najaf wakati wa Matembezi ya Arbaeen

NAJAF (IQNA)- Mamia ya maelfu ya wafanyaziara wamewasili katika mji wa Najaf, nchini Iraq kwa ajili ya ziara katika Haram ya Imam Ali AS kabla ya kuelekea katika mji wa Karbala kwa ajili ya maadhimisho ya Arbaeen ya Imam Hussein AS