IQNA

Matembezi ya Arbaeen ya Imam Hussein (2)

NAJAF (IQNA)- Mamillioni ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq na kutoka nchi zingine wako nchini Iraq kushiriki katika matembezi ya mguu kutoka Najaf hadi Karbala kwa munasaba wa Siku ya Arbaeen katika mwezi wa Safar 1444 Hijria Qamaria. Waumini wanaojitolea Iraq huwaandalia chakula na malazi washiriki wa matembezi hayo.