IQNA

Mjumuiko wa Wasichana wa Mapinduzi ya Kiislamu mjini Tehran

TEHRAN (IQNA)- Uwanja wa Michezo wa Shahidi Shiroudi mjini Tehran Alhamisi ulikuwa na mwenyeji wa Mjumuiko Mkubwa wa Wasichana wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wakukumbuka kuzaliwa Bibi Zainab SA.