IQNA

Msikiti wa Chuma wa Malaysia

PUTRAJAYA (IQNA) - Msikiti wa Tuanku Mizan Zainal Abidin, pia unajulikana kama Msikiti wa Chuma, ni msikiti mkuu wa pili wa Putrajaya, Malaysia. Msikiti huo ulizinduliwa mwaka wa 2009 na unaweza kupokea waumini wapatao 24,000.