Maandamano ya Wapakistani kupinga kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
ISLAMABAD (IQNA) - Maelfu ya Wapakistani waliingia katika mitaa ya miji mikuu kote nchini mnamo Julai 7, 2023, kukashifu udhalilishaji wa hivi majuzi wa Qur'ani Tukufu nchini Uswidi.
copied
https://iqna.ir/H0Eaao