LONDON (IQNA) – Sheikh Abubakr Siddiq hivi karibuni ameseoma aya ya 1 hadi 41 ya Surah Al-Anbiya, na kuwavutia wengi kwenye mitandao ya kijamii.
Video ya usomaji huo ilisambazwa kwenye Kanali ya YouTube ya Kituo cha Kiislamu cha Kilburn, huko London, Uingereza.