Kulingana na IQNA,, jioni ya Alhamisi, Julai 22, wakati wa hafla iliyofanyika katika ukumbi wa kidini wa Husseinia 2 ya Jamaran, kikundi hicho cha Qasida kilitambulishwa kama balozi wa amani na urafiki wa UNESCO.
Mwishoni mwa sherehe hii, wanachama wa kundi la Qasida la Qadr na wengine waliokuwepo katika sherehe hii waliimba pamoja Al-Asma-ul-Husna.