IQNA

Sherehe ya kufunga mashindano ya 63 Kimataifa wa Kusoma na Kuhifadhi Qur'ani ya Malaysia

Sherehe ya kufunga mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu inayojulikana rasmi kama Mkutano wa Kimataifa wa Kusoma na Kuhifadhi Qur'ani ya Malaysia (MTHQA), ilifanyika Kuala Lumpur mji mkuu wa Malaysia siku ya Alhamisi.