Tuzo ya al Mustafa (SAW), ilioanzishwa na Baraza Kuu la Utamaduni la Iran mnamo 2011 na mwaka huu ni ya tano kufanyika. Hadi sasa imewatunuku wasomi 14 wa ulimwengu tuzo hilo, na makala zake za kielimu kuchapishwa kama tuzo la Nobel la nchi za Kiislamu duniani. Zaidi ya wasomi moja moja kutoka nchi 40 za Kiislamu wanashiriki katika hafla ya tano ya Tuzo la Elimu na Teknolojia la Mtume Mustafa (SAW).