Katika Picha: Haram ya Imam Ridha (AS) yaandaa tukio la kisanaa kwa mshikamano na Wapalestina
MASHHAD (IQNA) – Tukio la kitamaduni lililopewa jina la 'Kutoka al-Quds hadi al-Quds' lilifanyika kwenye haram tukufu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini-mashariki mwa Iran, tarehe 6-7 Novemba ili kuonyesha uungaji mkono kwa watu wa Palestina wanaoteseka wakati huu wa jinai za utawala katili wa Israelkatika Ukanda wa Gaza.