Vijana wafunga Nikah katika Haram Takatifu ya Shah Cheragh, Shiraz katika kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Ali AS
IQNA - Mnamo Januari 25, 2024 sawa na 13 Rajab 1445 Hijria Qamaria katika siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam Ali (AS), Imam wa kwanza wa Shia, watu kadhaa walifunga ndoa kwenye Haram ya Shah Cheragh huko Shiraz, Iran.