IQNA

Haram ya Imam Ridha AS katika mkesha wa kukumbuka kuzaliwa kwa Imam Hussein AS

IQNA – Maelfu ya wafanyaziara walisherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam Hussein (AS) mnamo Februari 12, 2024, kwenye haram tukufu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad.