Washawishi wa mitandao ya kijamii wa China wamtembelea Haram ya Imam Ridha (AS)
IQNA - Kundi la watu wenye ushawishi wa mitandao ya kijamii nchini China walitembelea Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) katika mji wa kaskazini-mashariki wa Iran wa Mashhad mnamo Machi 4, 2024. Aidha walifika katika Jumba la Makumbusho la eneo hilo takatifu.