Matukio ya Hija 2024
Hija ya mwaka 2024: Ibada za Mwisho za Hija katika Picha
Baadhi ya mahujaji milioni 2 hutekeleza ibada zao za mwisho za Hijja katikati ya mwezi Juni 2024, huko Makka, nchini Saudi Arabia.
Moja ya ibada hizi ni Rami Al-Jamarat ambayo inaadhimishwa siku ya Eid al-Adha’ha na wakati wa Siku za Tashriq.