iqna

IQNA

hija
Karbala ya Mwaka 1445
Kifuniko, kinachojulikana kama Kiswa, cha Kaaba Tukufu kinatarajiwa kubadilishwa katika siku ya kwanza ya mwezi wa maombolezo ya Muharram, mamlaka ya Saudi ilisema.
Habari ID: 3479079    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06

Hija ya Mwaka 1445
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Thailand Chada Thaiset aliwataja mahujaji wa nchi hiyo kuwa ni mabalozi wa amani na urafiki.
Habari ID: 3479064    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/04

Hija ya mwaka huu
Mabadiliko ya hali ya hewa yalizidisha hali ya joto nchini Saudi Arabia inayolaumiwa kwa vifo vya watu 1,300 katika ibada ya Hija mwezi huu.
Habari ID: 3479046    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/01

Hija ya 1445
Hatua mpya zimeanzishwa katika Msikiti wa Mtume (SAW) huko Madina ili kuboresha huduma inayotolewa kwa wageni wazee na watu wenye ulemavu.
Habari ID: 3479044    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/01

Umuhimu wa Hija
Kuna mikakati ambayo inaweza kuwasaidia mahujaji kulinda matunda ya safari ya kiroho ya Hija.
Habari ID: 3479039    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/30

Hija ya 1445
Baada ya kumalizika kwa msimu wa Hijja, ambapo idadi kubwa ya mahujaji walikufa kutokana na joto kali, Saudi Arabia inasema hivi sasa inajiandaa kuwakaribisha mahujaji wa Umra.
Habari ID: 3479035    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/30

Ghadir katika Hadithi
Mwanazuoni mmoja mkuu wa Lebanon alisema Tukio la Ghadir limeangaziwa katika vyanzo vya Hadith katika Tawatur iliyoripotiwa kwa wingi na wasimuliaji tofauti na kupitia misururu mbalimbali ya upokezi.
Habari ID: 3479033    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/30

Hija 1445
IQNA-Saudi Arabia imetangaza kwamba zaidi ya mahujaji 1,300 walifariki dunia wakati wa amali za ibada ya Hija zilizoambatana na wimbi la joto kali mwaka huu.
Habari ID: 3479005    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/24

Hija ya Mwaka 1445
IQNA-Upangaji wa Hija ya mwaka ujao utaanza mara tu baada ya mafanikio ya hija mwaka huu kumalizika, afisa mmoja wa Saudia amesema.
Habari ID: 3478991    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/20

Matukio ya Hija 2024
Baadhi ya mahujaji milioni 2 hutekeleza ibada zao za mwisho za Hijja katikati ya mwezi Juni 2024, huko Makka, nchini Saudi Arabia. Moja ya ibada hizi ni Rami Al-Jamarat ambayo inaadhimishwa siku ya Eid al-Adha’ha na wakati wa Siku za Tashriq.
Habari ID: 3478986    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/19

Nabii Ismail (as) ; Mtoto wa Nabii Ibrahim ( as)
Mtaalamu wa kitaaluma na kidini wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anasema kiini cha ibada ya Hija ni kuacha matamanio ya kibinafsi na kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3478981    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/19

Siku za Tashriq ni siku ya 11, 12 na 13 ya mwezi wa Hijri wa Dhul Hija ambapo ibada kuu za Hija kama dhabihu ya wanyama na Rami Al-Jamaratu hufanyika.
Habari ID: 3478974    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/18

IQNA- siku ya Arafa yaani mwezi Tisa Mfunguo Tatu Dhul hija ni fursa kwa ajili ya dua na kuomba maghufira kwa Waislamu wote wawe katika Hija au wale ambao hawakupata taufiki ya Hija..
Habari ID: 3478967    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/14

Hija
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema amali za ibada tukufu ya Hija zinawatia hofu na wasiwasi mkubwa maadui.
Habari ID: 3478966    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/14

IQNA – Qari wa Iran Mehdi Adeli hivi karibuni amesoma aya ya 144 ya Surah Al-Baqarah msikitini mjini Madina. Adeli ni mjumbe wa msafara wa Qur'ani wa Iran ambao unaandaa programu mbalimbali za Qur'ani kwa mahujaji katika msimu wa Hija mwaka huu wa 1445 Hijria Qamaria. Msafara huo ni maarufu kama Msafara wa Nur wa Qur'ani Tukufu
Habari ID: 3478963    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/11

Hija
IQNA - Mwanafikra na Mtaalamu wa Uislamu kutoka Kanada ameitaja Hija kama sio tu ibada lakini mkusanyiko mkubwa zaidi wa amani duniani.
Habari ID: 3478962    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/11

Hija 1445
IQNA-Zaidi ya Waislamu milioni 2 wamewasili Saudi Arabia kutekeleza ibada ya Hija mjini Makka mwaka huu huku nchi za Kiislamu pia zikitangaza tarehe ambazo zitaadhimisha siku kuu ya Idul Adha katika mwaka wa 1445 Hijria Qamari (2024 Miladia).
Habari ID: 3478960    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/11

Falsafa ya Hija katika Qur'ani /3
IQNA - Hija ni safari ya kiroho inayofungua njia kwa ajili ya mapinduzi ya kimaadili katika nyoyo na kufungua mlango mpya katika maisha ya Mahujaji.
Habari ID: 3478959    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/10

Hija 1445
IQNA - Katika kilele cha msimu wa joto kali katika Ufalme wa Saudi Arabi, mamilioni ya Waislamu ulimwenguni kote wamekusanyika Makka kutekeleza ibada ya Hija. Mkusanyiko huu mkubwa unaibua wasiwasi kuhusu changamoto zinazoweza kujitokeza katika siku zijazo.
Habari ID: 3478957    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/10

IQNA – Nakala milioni moja za Qur’ani Tukufu yenye tafsiri katika lugha tofauti zitasambazwa miongoni mwa mahujaji kama zawadi katika msimu wa Hija mwaka huu.
Habari ID: 3478954    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/09