IQNA

Katika Picha: Maombolezo ya Muharram ya Wafanya ziyara Waarabu Mashia katika Madhehebu ya Imam Reza (AS)

Maelfu ya wafanya ziyara wanaozungumza lugha ya Kiarabu walihudhuria maombolezo ya muharram ya Imamu Husein (AS) ya tarehe 6 Julai 2024, kwenye kaburi la Imam Reza (AS) mjini Mashhad kuomboleza kifo cha shahidi Imam Hussein (AS).