IQNA - Qari mashuhuri wa Iran Amin Pouya akisoma aya za 159-165 za Surah Al-An’am kabla ya kuanza kwa mkutano kati ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatollah Seyyed Ali Khamenei na wabunge wa Iran tarehe 21 Julai 2024 mwaka huu.
Qari Amin Pouya akisoma katika kikao cha Rais Massoud Pezeshkian, rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran spika na wabunge na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.