IQNA

Aya za Maisha: Muombe Mwenyezi Mungu tu, sio viumbe alivyoviumba

Hakika hao mnao waomba asiye kuwa Mwenyezi Mungu ni waja mfano wenu nyinyi. Hebu waombeni, nao wakuitikieni, kama mnasema kweli. Aya ya 194 ya Surah Al-A'raf.