IQNA

Wafanyaziara wakienda Mashhad kwa miguu katika kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Ridha (AS)

IQNA – Huku kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Ridha (AS) ambayo ni siku ya mwisho ya mwezi huu wa Safar, idadi ya wafanyaziara wanaosafiri kwenda Mashhad inaongezeka siku baada ya siku na baadhi yao hutembea umbali mrefu kuufikia mji huo mtukufu na kutembelea kaburi la Imam huyo wa nane wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.