IQNA

Kisomo cha Mbinguni: Msikize Sheikh Saeed Musallam akisoma aya za Sura Al-A’raf

IQNA – Kinachofuata ni kisomo cha Aya ya 128 ya Surah Al-A’raf na qari wa Misri Sheikh Antar Saeed Musallam.

Mtume Muhammad (SAW) alisema wakati mmoja kwamba kuisikiliza Qur'ani Tukufu humletea mja thawabu za Mwenyezi Mungu, huku kila herufi ikisikika ikistahiki tendo jema kwa msikilizaji, na kumpandisha msikilizaji katika safu ya wale wanaosoma maandiko matukufu na kupaa kuelekea mbinguni. 

Shirika la habari la IQNA limeratibu na kutoa mfululizo unaoitwa "Kisomo cha Mbinguni," wenye kumbukumbu za kuvutia za wasomaji maarufu Qur’ani Tukufu.