Sherehe za Uzinduzi wa Kongamano la Kimaifa la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran
IQNA - Sherehe za uzinduzi wa Mkutano wa 38 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu zilifanyika Tehran tarehe 19 Septemba 2024, ambapo mha Rais wa Iran Masoud Pezeshkian alihutubu katika kikao kilichohudhuriwa na wanazuoni na shakhsia wa kisiasa na kidini kutoka nchi 30.