IQNA

Picha: Haram Takatifu ya Najaf Inajiandaa Kuadhimisha Kuzaliwa kwa Imam Ali

IQNA – Haram ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, inafanya maandalizi ya kuhudumia washiriki wa sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam Ali (AS), Imam wa kwanza wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, Rajab 13, 1446 Hijria Qamaria sawa na Januari 14 2025.