Kuuandaa na Kusafisha Msikiti wa Jamkaran kwa ajili ya Eid ya Nisf –Sha’aban
IQNA – Kadri siku ya kheri ya Eid ya Nisf-Sha’aban, inayoadhimisha kuzaliwa kwa Imam Zaman (Mwenyezi Mungu aharakishe ujio wake) inavyokaribia, wahudumu wa Msikiti wa Jamkaran na maafisa kadhaa wa kidini wa Mkoa wa Qom wamefanya ibada ya kuuandaa na kusafisha msikiti huo siku ya Ijumaa, Februari 7, 2025.