IQNA

Theluji katika mji mtakatifu wa Qom, Iran

(IQNA) - Theluji ya kwanza ya mwaka wa 2025 imenyesha katika mji mtakatifu wa Qom nchini Iran katika Haram Takatifu ya Bibi Masoumah (SA) Februari 9, 2025.