IQNA

Kisomo cha Mbinguni: Msikilize Qari  Shaht Muhammad Anwar akisoma aya kutoka Suratul Hujurat na Suratul Qaf  

IQNA - Kinachofuata ni usomaji wa Aya ya 18 kutoka Suratul Hujurat na Aya ya 1 kutoka Suratul Qaf, iliyosomwa na Qari Mashuhuri Shahat Muhammad Anwar   

Mtume Muhammad (SAW) aliwahi kusema kuwa kusikiliza Qur'ani Tukufu  huleta thawabu za kiungu, ambapo kila herufi inayosikika humpatia msikilizaji thawabu moja, na hivyo kumwinua msikilizaji katika daraja la wale wanaoisoma Qur'ani  na kupanda kuelekea Peponi. 
IQNA - imeandaa na kutoa mfululizo wa matoleo yenye kichwa "Masomo ya Kimbinguni," yakijumuisha usomaji wa kukumbukwa wa Qur'ani  kutoka kwa maqari mashuhuri.