Waumini wakaribishwa katika Haram ya Imam Ridha (AS) kwa ajili ya Futari
IQNA – Haram ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran inakaribisha maelfu ya waumini wanaofunga kila siku kwa ajili ya Futari katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Picha hizi zilipigwa tarehe 4 Machi 2025.