IQNA

Siku ya Pili ya Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran

IQNA - Maelfu ya watu walitembelea Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran mnamo Machi 7, 2025, katika Mosalla Imam Khomeini.