Katika Picha: Sehemu ya Kimataifa ya Maonyesho ya 32 ya Qur'ani ya Tehran
IQNA - Wanaharakati kutoka nchi kadhaa walionyesha shughuli zao za Qur'ani katika Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran ya mwaka huu wa 1446 Hijria Qamaria (2025) ambayo hufanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.