Haram ya Imam Ridha (AS) katika usiku wa kumbukumbu ya kuzaliwa Kwake
IQNA – Mamia ya maelfu ya wafanyaziyara walikusanyika katika Haram ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran mnamo Mei 8, 2025, kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imamu huyo wa nane wa Waislamu wa madhehebu ya ya Sshia.