Picha: Waumini watembelea Al Masjid An Nabawi kabla ya kuanza Hija
IQNA – Picha hizi zilizopigwa Mei 17, 2025, zinaonyesha Waislamu wakitembelea Al Masjid An Nabawi (Msikiti wa Mtume) mjini Madina wakati wanajiandaa kwa ibada ya Hija ya mwaka huu. Ibada ya kila mwaka ya ya Hija itaanza Saudia katika kipindi cha siku chache zijazo.