IQNA

Picha: Wairani waandamana kulaani hujuma ya utawala wa Israel

IQNA – Maelfu kwa maelfu ya wananchi wa Iran walimiminika mitaani kote nchini mara baada ya sala ya Ijumaa, tarehe 13 Juni 2025, kupinga kwa nguvu mashambulizi ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya nchi yao.