Mamilioni ya Wairani katika maandamano ya kitaifa kulaani fujo za kigaidi zilizoungwa mkono na Marekani, Israel
IQNA-Mamilioni ya wananchi nchini Iran waliandamana Jumatatu kulaani ghasia za hivi karibuni zilizochochewa na makundi ya kigaidi yanayodaiwa kuungwa mkono na Marekani na utawala wa Kizayuni.