Imam Sadiq (as) amesema: Kuvuta pumzi kwa mtu aliyehuzunishwa na masaibu yaliyotupata sisi (Ahlul Bait) ni sawa na kumsabbih na kumdhukuru Mwenyezi Mungu.