IQNA

Masjid-i- Kabod, Mazar-i-Sharif, Afghanistan

Msikiti wa kihistoria wa Kabod katikati mwa mji wa Mazar-i-Sharif nchini Afghanistan uliwahi kuharibiwa mara kadhaa na kukarabatiwa. Msikiti huu uliharibiwa mwaka 1220 Miladia na Jenghis Khan katika vita vilivyojiri eneo hilo na kukarabatiwa na Sultan Husayn Mirza Bayqarah, (mfalme wa silsila ya Teimor) katika karne ya 15 Miladia.

La mezquita azul de Mazar-e Sharif en Afganistán

La mezquita azul de Mazar-e Sharif en Afganistán

La mezquita azul de Mazar-e Sharif en Afganistán

La mezquita azul de Mazar-e Sharif en Afganistán