Msikiti wa Jamia wa Tokyo, Mnara unaong'ara wa Uislamu nchini Japan
Msikiti wa Jamia wa Tokyo ni kati ya majengo ya Kiislamu yenye usanifu wa majengo adhimu wa kidini.
Eneo hilo la ibada lina mnara mrefu
ambao umejengwa kwa kutumia mbinu za usanifu wa majengo za Kiuthmaniya na unashabihiana
na Msikiti wa Sultan Ahmad mjini Istanbul Uturuki.