IQNA

Picha za sherehe za Krismasi maeneo mbalimbali duniani

Wakristo wa kona zote za dunia wanaadhimisha siku kuu ya kukumbuka kuzaliwa Nabii Isa Masih maarufu kama Krismasi huku wakijitayarisha kuadhimisha mwaka mpya wa 2020 Miladia