Maonyesho ya 'Video Mapping' katika nchi mbali mbali kuhusu corona
Nchi mbali mbali za dunia zimeonyesha video katika kuta (Video Mapping) katika maeneo muhimu wakati wa usiku ambapo maudhui ni mshikamano wan chi za dunia katika vita dhidi ya corona au COVID-19