IQNA

Bustani ya maua ya chrysanthemums kati mwa Iran

TEHRAN (IQNA)- Wilaya ya Mahalat katika mkoa wa Markazi inajulikana kama makao makuu ya ukuzaji maua.

Hivi sasa eneo hilon i mwenyeji wa duru ya 20 ya tamasha la maua ya chrysanthemums amalo litaendelea hadi Novemba 11.