IQNA

Ukumbi wa kidini wa Chota Imambara nchini India

TEHRAN (IQNA)- Ukumb wa kidini wa Chota Imabara uko katika mji wa Luckonow kaskazkini mwa India na umejengwa na Waislamu wa Madhehebu ya Shia kwa ajili ya mijimuiko ya kidini kama vile maombolezo ya mwezi wa Muharram.

Ukumbi huo ulijengwa wakati wa utawala wa Muhammad Ali Shah mwaka 1838 na ujenzi wake ulidumu kwa muda wa miaka 54.