IQNA

Sherehe za Krismasi Kati mwa Iran

ISFAHAN (IQNA)- Mtaa wa Jolfa mkoani Isfahan kati mwa Iran ni mwenyeji wa familia za Wakristo wanaosherehekea Krismasi.

Nchi Iran kuna jamii ya Wakristo ambao wamekuwepo tangu jadi na wanapewa haki zoa kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.