IQNA

Maonyesho ya 35 ya Sanaa za Mikono Iran

TEHRAN (IQNA)- Maonyesho ya 35 ya Sanaa za Mikono Iran yameanza Januari 29 mjini Tehran katika Ukumbi wa Maonyesho ya Kimataifa Tehran.