IQNA

Tamasha la 16 la Kimataifa la Filamu la Iran 'Cinema Verite'

TEHRAN (IQNA) – Toleo la 16 la Tamasha la Kimataifa la Filamu za Matukio ya Kweli la Iran “Cinema Verite” lilifungwa Desemba 16 mjini Tehran baada ya kuendelea kwa muda wa siku sita.