IQNA

Kitengo cha Kimataifa cha Maonyesho ya 30 ya Qur'ani ya Tehran katika Picha

TEHRAN (IQNA) - Sehemu ya kimataifa ya maonyesho ya 30 ya Qur'ani Tehran ilifunguliwa Jumatatu kwa kushirikisha wasanii na wawakilishi kutoka nchi 21.