IQNA

Ramadhani: Majira ya Kuchipua Qur'ani Tukufu katika nchi za Kiislamu

TEHRAN (IQNA) - Waislamu kote ulimwenguni wanazingatia zaidi usomaji Qur'ani Tukufu wakati wa mfungo wa mwezi wa Ramadhani.