Sala ya Idul Fitr maeneo mbali mbali nchini Iran
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Jumamos, Shawwal 1 iliyosadifiana na Aprili 22 walijumuika katika maeneo mbali mbali ya nchi kwa ajili ya kushiriki katika Sala ya Idul Fitr. Hizi ni picha za baadhi ya maeneo kulikosaliwa sala hiyo ya kuashirikia kumalizika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.